Friday, 28 November 2014

 
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.
Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali. PICHA ZAIDI ZIPO HAPA

0 comments:

Post a Comment

WASOMAJI WETU

10 ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Recent Posts

Text Widget